Diamond Platnumz – Natulizana (Lyrics)
Diamond Platnumz – Natulizana Lyrics Changanya tende na maziwa Havifikii utamu wako Wanipe embe au juice ya miwa Mie ntakunywa tu wewe hapo Unyagoni ulipochezwa Hivi somo yako nani Maana unayo ninogeza Kwangu ni mageni yani Namaliza vingereza Mara ooh i’m coming Mengine siwezi kueleza Maana haya hadharani Halafu sipendi Unavyo nispoil sana Vigift gift …
